Linah Sanga amerudi kuziandika headlines kwa mara nyingine weekend hii, baada ya kuachia audio ya wimbo wake mpya No Stress ameona atusogezee na video yake kabisa.
Video imesimamiwa na Godfather ndani ya South Africa na hii itakuwa ni video ya pili ya Linah kutengenezwa chini ya usimamizi wa Godfather, Ole Themba ilikuwa ni video ya kwanza ya Linah kusimamiwa na Director huyo mwenye heshima kubwa kwenye kazi yake Africa.
‘No Stress‘ hii hapa, unaweza enjoy mdundo huu mpya wa Linah hapa ukibonyeza play mtu wa nguvu.
0 comments:
Post a Comment