Wengine sasa sio hata kwa boyfriend tuu yaani yeye asikuzoee kidogo tu kosa kesho yake ataomba hela. Ombaomba Siku Hizi Hawapo Barabarani tu Hata Kwenye Simu zetu Wapo Jamani ..
Hii ni tabia mbaya jamani tubadilikeni hata siku ikitokea umeomba hela mtu anashangaa anajua kweli umebanwa coz sio kawaida yako. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment