Mwimbaji/Mwigizaji Hemed PHD kutoka kwenye bongofleva time hii anayo hii kwa ajili yetu… amethubutu na ameweza kutuletea video kali iliyofanywa Tanzania kwa kutumia location zenye mvuto ambazo sio kawaida kuziona kwenye video nyingine za wabongo.
Hii video imefanywa Morogoro, Arusha kwenye ziwa Duluti Tengeru, Dar es salaam na Manyara.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment