Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto...

Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto...

Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa mwaka 1 na miez 5.

Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, na mimi na hisia kweli.Nilisex nae mara 1 tu na nilienda kuoga kabla sijamnyonyesha mtoto.

Naomba kuuliza inaweza kumdhuru mtoto?

Je, nifanyeje?

Msinielewe vibaya ndugu yangu baba mtoto yuko mbali na ana mwanamke mwingine .

Hana muda na mimi kabisa, mimi ni binadamu hisia zilinizidi tu nikawa nimefanya hivyo. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips