Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » Breaking News...Ester Bulaya Apeta Kura Ubunge na Chadema Kupitia Kura za Maoni...

Breaking News...Ester Bulaya Apeta Kura Ubunge na Chadema Kupitia Kura za Maoni...

ESTER BULAYA  Ameingia Tatu Bora ...KATIKA WILAYA YA BUNDA NA KUWA MTU WA TATU

MATOKEO YA BUNDA MJINI
PIUS KURA 61
MAGEMBE KURA 40
BULAYA KURA 37
FRANK KURA 35
MAGANJA KURA 5
JANE KURA 0
CHACHA KURA 0

Katika Ukurasa Wake wa Facebook Ameandika Hivi:

CHADEMA tunaendelea tulianza na mungu tunamaliza na mungu, nawashukuru sana wanachadema Bunda kwa kunipokea na kunipa heshima kubwa, mbali ya ugeni wangu ndani ya chama mmeonyesha mnaniamini. mmenipendekeza kwenye majina matatu ili kusubiri uteuzi wa vikao vya kamati kuu vitakavyoamua nani apeperushe bendera katika jimbo la Bunda. Lakini pia mkanipendekeza kuwa namba moja kwenye viti maalum kwa kura nyingi. Nawaahidi sitowaangusha, yeyote atakae pita kati yetu tutashinda Bunda Mjini. Mungu ibariki Chadema ibariki Tanzania.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips