Wananchi wamechoma moto Kituo cha Polisi Bunju 'A' na kusababisha Askari Kukimbia Kituo hicho cha Polisi, kwa ujumla hali haikuwa shwari kwa Masaa manne hadi kusababisha Bara bara kufungwa kwa Muda....
Mahabusu waliokuwa ndani wametoka salama baada ya kufunguliwa na msamaria mwema
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment