Meneja wa Multichoice Ghana, Anne Sackey amethibitisha uvumi huo na kusema kuwa ni kweli Multi Choice Ghana wamepokea ujumbe kutoka MNET kuwa shindano hilo halitafanyika mwaka huu.
Sackey ameongeza kuwa MNET hawakutoa sababu za kusitisha msimu mpya lakini yeye binafsi anahisi ni kutokana na ukosefu wa wadhamini.
Hata hivyo, watu wengi wanaamini kuwa hii inaweza kuwa ni ‘public stunt’ ya kuwaandaa watu na msimu mpya. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment