Aidha ameweka wazi kutoridhishwa na mchakato uliofanywa na Kamati Kuu kuipata tano bora na hatimae Magufuli.
Anasema kamati kuu haikuwa na mvuto kiasi kwamba Mwenyekiti J.Kikwete hakuwa anajiamini,alifika wakati ana-adress kwa mwenyekiti na kujishtukia "kumbe mwenyekiti ni mimi mwenyewe".
Profesa amesisitiza kuwa watu walikuja na majina mifukoni kwani majina yalivuja kabla hata vikao.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment