Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Picha: Ubora na Viwango Vyangu, TBS Nimeshindikana-Lulu

Picha: Ubora na Viwango Vyangu, TBS Nimeshindikana-Lulu

Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amejifangilia kwa kusema kuwa viwango vyake katkaia maswala mazima za kijipodoa ni ya kiwango cha juu.

Lulu ameandika haya kwenye ukurasa wake wa instagram mara baada ya kuweka picha hizo hapo juu.

Diana Elizabeth Michael...! Miss Balozi katika Ubora na Viwango vyangu (TBS nimeshindikana)
Unaweza kuniita Mkali Wa Hizi Kazi pia.Pale Make up Artist wako anapotaka Kukugeuza Mzungu na Nusu…"

Akaandika tena

"Ubora na Viwango vilivyoshindikana na TBS..Kuna mtu atapanic tu". WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips