Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » LOWASSA Inatosha, MBOWE, LIPUMBA, MBATIA Wamwita UKAWA, Yuko Mbioni Kuachana na CCM Wakati Wowote....

LOWASSA Inatosha, MBOWE, LIPUMBA, MBATIA Wamwita UKAWA, Yuko Mbioni Kuachana na CCM Wakati Wowote....

Wakati Joto la Mbio la Urais Tanzania Linaendelea , Wakuu wa Vyama vya Upinzani Wanao unda kundi la Ukawa Wamemwambia Lowassa Huko alipo sasa inatosha amedhihakiwa vya kutosha na Kwamba wanamkaribisha Ukawa kwa mikono miwili kama walivyofanya wengine wakiwemo Mh Limbeli na Mh Ester Bulaya pamoja na Wale Madiwani wa Monduli....

Tetesi zinasema kuwa Muda wowote Lowassa anaweza Tangaza uamuzi wake wa Kujiunga na Upinzani ili apate nafasi ya kuwania Urais 2015.....

Una Maoni Gani ? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips