Toa Maoni yako..... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
Edward Lowassa
» LOWASSA Adai Anachukia Sana Umaskini...Ndio Maana Marafiki zake ni Matajiri.....Ataka Watanzania Wote wawe Matajari Kama Kina Mengi na Bakhresa
LOWASSA Adai Anachukia Sana Umaskini...Ndio Maana Marafiki zake ni Matajiri.....Ataka Watanzania Wote wawe Matajari Kama Kina Mengi na Bakhresa
Wakati akitangaza Kujiunga na Chama cha Chedema leo hii mmoja wa waandishi ameuliza swali kwanini yupo karibu sana na matajiri ..Lowassa amejibu swali hilo kwa kusema kuwa anachukia sana umaskini ndio maana yupo karibu nao na nia yake ni kufanya watanzania wote wawe matajiri kama kina Mengi na Bhakresa......
Toa Maoni yako..... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Toa Maoni yako..... WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
Labels:
Edward Lowassa
0 comments:
Post a Comment