Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Kazi anayotaka kufanya mtoto wa kwanza wa Obama yajulikana yawashangaza wengi

Kazi anayotaka kufanya mtoto wa kwanza wa Obama yajulikana yawashangaza wengi

Mtoto wa kwanza wa rais wa Marekani Malia Obama ’17’ ameanza harakati zake za kutaka kuwa mwigizaji na muongozaji a filamu.

Malia ameonekana huko Brooklyn na kundi la watayarishaji na waigizaji wa “Girls” hivi karibuni huku mashabiki wakifahamishwa kuwa hatacheza kwenye filamu hii ila ndio anajifunza mambo hayo.

Malia alionyesha kupenda kuwa mwigizaji na hata kuonekana kwenye tamthilia ya Halle Berry “Extant.” WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips