Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » CNN Yawachokoza Wakenya kwa Kuiita nchi yao ‘Kitovu cha Ugaidi’, inakiona cha Mtema Kuni Kwenye Twitter!

CNN Yawachokoza Wakenya kwa Kuiita nchi yao ‘Kitovu cha Ugaidi’, inakiona cha Mtema Kuni Kwenye Twitter!

#SomeOneTellCNN ni mada inayotrend nchini Kenya kwa sasa na hiyo ni baada ya CNN kutangaza na kuandika habari iliyowakera.

CNN imedai kuwa taarifa yake ya habari kuwa wasiwasi wa usalama unazidi kuwa mkubwa wakati Rais Barack Obama akijiandaa kwenda nchini humo ambako imesema ni ‘kitovu cha ugaidi.’
OBAMA’S TRIP RAISES SECURITY CONCERNS

“President Barack Obama is not just heading to his father’s homeland, but to a region that’s a hotbed of terror,” wameripoti CNN.

Taarifa hiyo imewaudhi wakenya wengi ambao wanaiona CNN kama kituo kinachoichafua nchi hiyo. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips