Naitwa Anna niko Dar es salaam. Mchumba wangu anataka kunioa lakini hataki nikae na mwanangu niliozaa na mpenzi wangu wa zamani. Sijui cha kufanya naombeni ushauri wenu jamani
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINIANAOMBA USHAURI.
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment