Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » Wema Sepetu afunguka sababu ya kutompigia ‘debe’ Diamond kwenye tuzo za Killi

Wema Sepetu afunguka sababu ya kutompigia ‘debe’ Diamond kwenye tuzo za Killi

Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu ametajwa kuwa ndiye aliyechangia kwa kikubwa  ushindi wa tuzo tano za Killi za msanii wa Bongo Fleva,Ali Kiba kutokana na kumpigia debe mara nyingi kupitia akaunti yake ya Instagram.

Akifunguka kupitia 255 ya XXL,Wema alisema kuwa Ali Kiba alimuomba ampigie debe kwenye akaunti yake ya Instagram,kwani hata msanii huyo aliwahi kumpigia debe alipowania tuzo za Watu ndiyo maana alifanya hivyo.

Hata hivyo alipoulizwa mbona hakumpigia debe aliyekuwa mpenzi wake,Diamond Platinum ambaye ni hasimu wa msanii Ali Kiba,alisema kuwa Diamond hakuwahi kumuomba ampigie debe kama angemuomba angefanya hivyo kwani hana tatizo na msanii huyo.


  • ‘’Sina tatizo na Diamond kama angeniomba nimpigie debe Instagram ningefanya hivyo,’alisema Wema.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips