Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Ray 'Chuchu Hans si Mpita Njia ..Ana Sifa zote za Kuwa Mke Wangu..Hapo Alipo Anasubiri Ndoa tu'

Ray 'Chuchu Hans si Mpita Njia ..Ana Sifa zote za Kuwa Mke Wangu..Hapo Alipo Anasubiri Ndoa tu'

Imelda Mtema
NYOTA mkubwa katika Bongo Movies,Vincet Kigosi ‘Ray’ ameweka wazi kuwa Chuchu Hans, ambaye ni mpenzi wake wa muda mrefu, si mpita njia, bali ni mwanamke anayesubiri ndoa kwa kuwa ana sifa zote za kuwa mke.

Kwa sababu hiyo, alisema siyo jambo zuri kufikiri kila anapotoka katika mitoko yake ya usiku awe naye kwa kuwa mke hafai kuwa mtu wa kuzunguka naye usiku kama hakuna ulazima wa kufanya naye hivyo.

Kama hivi, mimi nimekuja hapa kwenye shughuli ya ZIFF, kitu hiki kinanihusu peke yangu, hakuna haja ya kumsumbua kuja naye, yule ni mke, siwezi kumtembeza pasipo ulazima wa kutufanya kuwa pamoja,” alisema. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips