Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi Mkuranga, Mkoani Pwani wamevamia tawi la Benki ya NMB na kuua Askari mmoja kisha kutokomea na fedha zote.

Watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi Mkuranga, Mkoani Pwani wamevamia tawi la Benki ya NMB na kuua Askari mmoja kisha kutokomea na fedha zote.

Majambazi wamevamia NMB Mkuranga, Wameua askari na kutokomea na fedha.

Update

Kamanda wa Polisi Mkoani Pwani, Jafary Mohamed, ameithibitishia JamiiForums kutokea kwa tukio hilo na kwamba sasa anajiandaa kwenda katika eneo la tukio.

"Ni kweli nimepata taarifa zenye maelezo machache kama hayo unayonieleza lakini niko kwenye ziara (Hakutaja ni ziara gani), ninajiandaa kwenda katika eneo la tukio, nikifika au kupata taarifa zaidi muda wowote kuanzia sasa nitawajulisha kwa kina" alieleza Kamanda Mohamed. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips