Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Rogers
(pichani) raia wa Uganda amekiri kufanya ngono na wanafunzi 712 wa vyuo
vikuu mbalimbali nchini Tanzania na Uganda na kuwaambukiza virusi vya
UKIMWI kwa kipindi cha miaka mitatu.
Rogers amesema alipogundua ana maambukizi ya HIV mwaka 2012
aliamua kulipiza kisasi kwa kuambukiza wasichana wengi kadri
iwezekanavyo. Hadi kufikia mwaka huu alikwisha ambukiza wasichana 712
wote wakiwa wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu kutoka Tanzania na
Uganda.
Vyuo vya Tanzania ambavyo Rogers anadai kutembea na
wanafunzi wake ni CBE Dar, IFM, USTAWI, UDSM na TIA. Pia amedai kuwa
kati ya wasichana wote 712 aliotembea nao hakuna yeyote aliyemrudia mara
mbili wala kutumia condom.
"Sikuhitaji kumrudia mtu mara mbili maana ni kupoteza muda.
Nilijitahidi kadri niwezavyo kuwapata wengi ili kutimiza azma yangu ya
kuambukiza mamia ya wanafunzi." alisema Rogers.
Mmoja kati ya wasichana ambao Rogers ametembea nao na
kumuambukiza virusi vya UKIMWI ni mtoto wa mwanasiasa maarufu nchini
Uganda Mhe.Frank Gashumba.
Katika kudhibitisha madai yake, Rogers amesambaza picha za
wasichana mbalimbali wa Tanzania na Uganda akifanya nao ngono tena bila
ya kutumia kinga. Katika hali ya kushangaza wasichana wote wanaonekana
kukubali kupigwa picha kwani hawana wasiwasi na wanaonekana kufurahia.
Pitia link hii hapa ujionee picha hizo pia kuona kama kuna
ndugu yako, mchumba wako au mwenzi wako amehusika kwenye cheni ya Rogers
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment