Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » , » Shilole Acharuka! Avipiga Mkwara Videmu Vinavyomshobokea Nuhu Mziwanda, Aweka Picha Kuonyesha Alipomtoa Mziwanda

Shilole Acharuka! Avipiga Mkwara Videmu Vinavyomshobokea Nuhu Mziwanda, Aweka Picha Kuonyesha Alipomtoa Mziwanda

Staa wa Bongo movies na Bongo Fleva, Shilole ameandika mkwara huo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram mara baada ya kuweka picha hizo mbili  hapo juu za mchumba wake Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni alidaiwa kumpa mimba masichana anaefahamika kwa jina la hata hivyo mziwanda alikanisha taarifa hizo.


  • Kutoka pic ya kwanza mpaka ya pili sio kaz ndogo aiseee haraf nashangaaa videm from no where vinaanza shobo mamaeeeee zenu kama mnatumwa kufitinisha mapenz yetu mmefeli mimi ndo ashangedere na mim ndo shishi mtoto wa Tabora nimezoea kula ugali sio wa chipsi mayai sasa mtu ajifanye anshobo na baby wangu aje nimuoneshe jinsi majengo ya serikali yanavyogawanywa watu! nampenda mpenz wangu ndo maana namsapot"-Shishi alimaliza


Nadhani Shilole umeeleweka. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Pages (38)1234 »
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips