Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Mzee Majuto Aeleza A-Z Sakata la Instagram Party Mpaka Wema Sepetu Kuingilia Kati na Kufunguka Instagram

Mzee Majuto Aeleza A-Z Sakata la Instagram Party Mpaka Wema Sepetu Kuingilia Kati na Kufunguka Instagram

Kuna watu ambao walimuita Mzee Majuto kwenye show wakamuahidi kumlipa mil.2, baada ya show wahusika hawakumlipa… Mzee Majuto ikabidi amtafute Wema Sepetu ambae alimuunganisha na watu hao.

Mzee Majuto amesema Wema aliwatafuta watu hao na wakamlipa hela hiyo jana.. lakini hii sio mara ya kwanza kwa Mzee Majuto kutapeliwa, kumbe aliwahi kusainishwa mpaka Mkataba kwenda kwenye show Mwanza yeye pamoja na akina JB na Steve Nyerere, mwishowe wakatapeliwa hivyohivyo.

U Heard iko kwenye hii sauti mtu wangu, Mzee Majuto kasimulia ishu nzima ilivyokuwa pamoja na huo utapeli wa Mwanza.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips