Rapper huyo alikiambia kipindi cha Mlimanidotcom cha Mlimani TV kuwa ana mwaka mmoja na nusu sasa bila kuwa kwenye uhusiano wowote.
“Sasa hivi nimeingia kwenye break karibia mwaka mmoja na nusu,” alisema AY.
“Kila mtu ana uamuzi wake na kila mtu ana mipango yake katika maisha so kwa upande wangu nimeona nifocus sana kwenye kazi na ndio maana mnaona matokeo ya kazi inavyofanyika. Sometimes vitu kama hivyo vinakusogeza mbele, sometimes inaweza ikakudiscourage uwaka slow katika kazi zako. Ikitokea imetokea ila sasa hivi nipo kama baiskeli.” WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment