Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Membe Akanusha kuwa na Undugu wa Damu na Kikwete

Membe Akanusha kuwa na Undugu wa Damu na Kikwete

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amekanusha uvumi ambao umekuwa ukienezwa kuwa yeye na  Rais Jakaya Kikwete ni ndugu wa damu.

Membe amesema kuwa japo wanafanana kwa sura lakini hawana uhusiano wowote wa kibaiolojia.

Mhe. Membe alikanusha uvumi huo  jana Mjini Dodoma wakati akichukua fomu za kuwania urais kwa tiketi ya CCM, ambapo pamoja na mambo mengine alisema ataimarisha viwanda vidogo na vya kati.

Kada mwingine wa CCM aliyechukua fomu za kuwania urais hii jana ni Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina ambaye amesema vipaumbele vyake vitakuwa ni kuboresha ukusanyaji wa kodi pamoja na usimamizi thabiti wa mapato ya kodi ili taifa liondokane na utegemezi WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips