Mtoto wa 50 Cent aitwaye Sire Jackson kwa
mujibu wa mitandao ndiye mtoto wa staa anayeongoza kwa kupokea fungu
kubwa la fedha baada ya kuingia mkataba wa kufanya mitindo ya mavazi kwa
ajili ya watoto.
Akiwa
na miaka yake miwili tu, uliweza kuingia mkataba wa kiasi cha dola
700,000 ambazo baba yake amesema zitakuja kumsaidia atakapokuwa mkubwa.
Headlines nyingine inatoka kwa mtoto wa staa wa kundi la Destiney’s Child, Kelly Rowland ambaye kwa mara ya kwanza amepata dili la kufanya tangazo la sabuni za watoto za Dreft.
Kelly na mwanaye Titan ambaye amefikisha
miezi mitano tangu azaliwe walionekana kwenye televisheni wakiwa na
furaha katika tangazo la bidhaa za Dreft.
0 comments:
Post a Comment