Home »
SIASA
» Henry kilewo :Nasikia Zitto Anataka Kugombea Ubunge Dar es Salaam, Nipo Tayari Kupambana Naye Jimbo lolote na Kumshinda, Nataka Kuuzirishia Umma Kuwa Alikuwa Anabebwa
'Nilisikia kipindi fulani kuwa kuna mtu mmoja aitwaye zitto anataka
kugombea jimbo moja wapo la Dar es salaam...Nataka niuambie umma ya kuwa
nitopayari kupambana na huyo mtu anayeitwa zitto kwenye jimbo lolote
atakalo tangaza hapa Dar es salaam na kuachana na Mwanga niliyoijenga
tokea mwaka 2011na kumuachua kijana makini salimu simbano marijani
(Chadema) na kupambana na mtu huyo... Sina hofu nipo vizuri kama huyo
mtu anayeitwa zitto anao huwo uwezo tuandaliwe mdahalo wa live mimi na
yeye watu wajimbo husika na wasiyokuwa wajimbo watupime kuanzia hapo.
Nataka tuonyeshe umma kuwa mtu huyu alikuwa anabebwa na taasisi na hana uwezo kama yeye binafsi...
Henry kilewo
2015 mwanga we shall overcome.. '
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment