MWANAMUZIKI Luteni Karama juzi Jumamosi alimmvisha pete ya uchumba
mpenzi wake wa siku nyingi ambaye pia ni mwanamuziki, Isabela Mpanda
'Bella'.
Tukio hilo lilifanyika katika Ukumbi wa Klabu Kakala iliyopo Kigamboni
jijini Dar es Salaam wakati wa shoo iliyokwenda kwa jina la Swagaz Night
ambapo mastaa hao walikuwa wakipiga shoo.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment