Watu watatu wamefariki dunia na wengine 42 kujeruhiwa baada ya basi la
Super Feo lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Songea kutumbukia Mtoni eneo
la Tazama Pipeline Inyara.
MUNGU azilaze roho za marehemu mahali pema peponi.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment