Anti Lulu amesema asilimia kubwa ya watu wanamtukana anapoweka picha zinazomuonesha maumbile yake ni wanawake.
"Asilimia kubwa ya wanawake ndio wanaongoza kunitukana nikiweka picha zangu za Mungu alivyoniumba ..mapaja yangu,hips zangu ma**ko yangu...sasa sijui kwanini mwatukana nyie wanawake angalieni nisiwabebee mabwana au wanaume zenu kwa mlioolewa,mimi mmakonde na Mbondei..mtalia na kusaga meno" aliandika hivyo katika ukurasa wake wa facebook. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment