Je Unalionaje hilo? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Home »
SIASA
» Zitto: Lowassa Akikatwa Jina CCM Katika Kinyang'anyiro cha Urais, Atangaze Mali zake Ajiunge ACT-Wazalendo
Zitto: Lowassa Akikatwa Jina CCM Katika Kinyang'anyiro cha Urais, Atangaze Mali zake Ajiunge ACT-Wazalendo
Zitto akiwa Ziarani Mjini Mwanza Katika Mkutano wa ACT Wazalendo
uliofanyika Katika Viwanja vya Furahisi Ameweka Bayana kuwa Kama Jina la
Lowassa litatolewa katika Kinyang'anyiro cha kugombea Urais 2015 kwa
Ticket ya CCM basi ACT wazalendo wako radhi Kumpokea kwenye Chama chao
kwa Sharti la Kutangaza Hadharani Thamani ya Mali zake na Utajiri
alionao na chanzo chake ....
Je Unalionaje hilo? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Je Unalionaje hilo? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment