Upande wa Manny Pacuaiao.
Kuna.
- Sylivester Stallone "Rambo"
- Mike Tyson
- Mohammed Ali
- Ronda Rousey (mwanadada huyu mwenye dani nne za judo, pia mcheza boxing)
- Mark Walhberg (kacheza movie za action, na pia ame bet na P didy kiasi cha Tsh 487 kwamba Pacuiano atashinda)
Upande wa Team Mayweather
Kuna.
- Justin Beiber
- Maria Carey
- P didy
- Rick Ross
- 50 Cent
Hapo nadhani mwenye akili amegundua kitu flani, na ameeona maajabu yaliyopo, haihitaji degree wala masters. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment