Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Viwanda vya Mikorogo Vikizimwa ulimwenguni tutawasahau wengi
Kufuatana na hali halis ya watu kujibadili sura mpaka kukalibia jini,
siku ametokea muungwana mmoja Africa akasema viwanda vya vipodozi na
mikorogo vizimwe na kutotumika tena. Ipo siku tutawasahau wengi, wengine
tutawapa shikamoo bibi, wengine kuwakimbia kwa mabaka ya rangi nyingi
tofauti.
Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja
Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment