Imetusikitisha sana kumbe nyuma ya kashfa alikuwa akidaiwa Askofu
Gwajima juu ya Kardali Pengo ilikuwa ni ufunguo tu wa serikali kuingilia
Imani na Utendaji wa Viongozi wa kidini (Askofu Gwajima) Iweje kashfa
iliyokuwa inamuhusisha Kardinali Pengo na Askofu Gwajima ipelekee
kuhojiwa na Kudaiwa alete nyaraka zinazohusiana na mapato na matumizi ya
Kanisa la ufufuo na uzima, Kwani makanisa huwendeshwa na ruzuku kutoka
serikalini !?, Je!
Kuna kanisa au dhehebu lolote la kidini wawe waislam au wakristo
wameisha wahi kuhojiwa kuhusu mapato na matumizi ya
madhehebu(makanisa/misikiti) yao?
Wanapohoji nyaraka za helicopter kwani! Iliingia nchini kwa uficho!?....
Kwanini wasiene kuuliza TRA kama helicopter hiyo haikulipiwa ushuru ?
Kumbe tumegundua serikali na wanasiasa walioko madarakani wanaajenda ya
siri juu ya Askofu Gwajima. Nchi yetu ina mambo mengi ya kushughulikiwa
na serikali ili kutatua matatizo ya wananchi kama vile vifo vya albino,
migogoro ya wakulima na wafugaji, matumizi mabaya ya fedha(ESCROW) na
mikataba mibovu isiyo na manufaa kwa mtanzania mmoja mmoja .
Mambo kama haya kama ya Sakata la Escrow na Epa yangekuwa
yanafuatiliwa kwa karibu kama anavyofuatiliwa Askofu Gwajima ingeleta
tija kwa uongozi uliopo madarakani na Imani kwa wananchi juu ya serikali
yao.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment