Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Maseneta Marekani walikataa Russia isiandae #WorldCup2018, FIFA imejibu hivi..

Maseneta Marekani walikataa Russia isiandae #WorldCup2018, FIFA imejibu hivi..

Russia-2018-600x353 
Hakuna uhusiano mzuri kati ya nchi ya Marekani na Russia, hiyo ilifanya baadhi ya Maseneta wa nchi hiyo kutaka FIFA izuie michuano ya Kombe la Dunia kufanyika Russia mwaka 2018.
March 2014 iliwahi kuripotiwa kwamba Seneta Mark Kirk na Dan Coates waliwahi kuandika barua kuiomba FIFA iifute Russia uanachama wa Shirikisho hilo la Soka.
Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano FIFA, Delia Fischer aliandika barua ya majibu ya ombi hilo kwamba FIFA haiko tayari kukubaliana nao; “The boycott of sports or policies of isolation or confrontation are not the most effective ways of solving problems“.
Maseneta hao pamoja na John McCain ambaye aliwahi kugombea Urais wa Marekani 2012, waliandika barua FIFA kuliomba Shirikisho hilo kuizuia Russia kuandaa michuano ya World Cup 2018


WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips