Meneja huyo ambaye ni mbunifu wa mavazi aliyasema hayo hivi juzi kati kwenye ukursa wake mtandao mara baada ya kubandika picha ya Wema akiwa ndani ya ofisi ya Hospitali ya kimataifa ambayo imeingia mkataba na Wema kuwa Balozi wa hospital hiyo.
“Sichoki Kumwomba Mungu... Naamini ipo siku tutafika kileleni..... I love Every thing Abou tHer kasoro drama tu team wema msinitusi”- Kadinda aliandika.
Na kweli team Wema walimstahi meneja huyu. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment