Anti Lulu na Mr Bond Enzi za Mapenzi yao |
Bondi alisema kitu kikubwa anachokifanya Aunty Lulu ni kubadilisha wanaume ndiyo sababu ya kushindwa kuendelea na kazi yake ya utangazaji na filamu, akiishia kudanganya kuwa yeye ni mjasiriamali.
Lakini Aunty Lulu naye alijibu tuhuma hizo akisema mwandani wake huyo wa zamani atakuwa anatafuta kitu kutoka kwake, kwani kama ni kazi, hata yeye mwenyewe hana anachokifanya mjini zaidi ya kuuza sura kwani kama anaringia utangazaji, yeye ndiye alimtafutia kazi hiyo.WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment