Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Umeskia hii ya mama kujifungua mara mbili ndani ya mwaka mmoja?

Umeskia hii ya mama kujifungua mara mbili ndani ya mwaka mmoja?

preeeTuliwahi kuandika stori ya mwanamke kujifungua watoto mapacha ambao walipishana miezi miwili waliozaliwa katika moja ya hospitali huko Romania na kuonekana kugusa hisia za watu wengi.
sarah3Hii tena imetokea huko Uingereza baada ya mama mmoja kupata watoto wanne ikiwa ni matokeo ya kushika ujauzito mara mbili ndani ya mwaka mmoja.
Sarah Ward mwenye umri wa miaka 29 alipata mapacha watatu ikiwa ni mwezi mmoja tangu ajifungue mtoto wake wa kwanza wa kiume,
sarah
Mwanamke huyo alijifungua mapacha hao watatu ambao walizaliwa kabla ya muda huku mtoto wake wa kwanza akiwa tayari na miezi nane.
Sarah amesema anashukuru kupata watoto hao na amekua akitumia nepi zaidi ya 30 kwa siku kwa ajili ya kuwabadilisha watoto wake lakini haoni kama ni gharama kutokana na furaha aliyonayo.
sarah2Alisema alipata wakati mgumu wakati akijaribu kushika mimba ya mtoto wake wa kwanza na madaktari walipogundua ana mimba ya watoto mapacha watatu walimshauri kumtoa mmoja ili watakaosalia waweze kukua vizuri lakini alikataa na kutaka waache wote.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips