Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Baba wa Yemi Alade alifariki January 16, 2015, sasa wanapanga mazishi yake!!

Baba wa Yemi Alade alifariki January 16, 2015, sasa wanapanga mazishi yake!!

rest 
Imekuwa kama desturi kwa mastaa wa Nigeria mara wanapofiwa na watu wao wa karibu kukaa muda mrefu bila kuwazika, ilianza kwa nyota P-square kuchelewa kumzika mama yao Josephine Okoye ambaye alifariki May 11 2012 na kuzikwa Agust 2 2012 akafuatiwa na baba yao Moses Okoye ambaye alifariki Novemba24 na kuzikwa January30.
Matukio hayo yaliacha maswali kwa watu mbalimbali na kusababisha kuingia kwenye headlines za vyombo mbalimbali vya habari duniani.
Safari hii ni kwa staa mwingine Yemi Alade ambaye baba yake mzazi kamishna mstaafu wa polisi J.A Alade ambaye alifariki January 16,2015 sasa anatarajiwa kuzikwa May7 mwaka huu.
Yemi Alade alisema baada ya kumaliza ziara zake Ulaya atarudi na kuanza maandalizi ya kumzika baba yake lakini hakuweza kueleza ni wapi shughuli hiyo itafanyika.


WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips