Rafiki wa karibu wa Kajala aliyeomba hifadhi ya jina lake, alimtonya mwandishi wetu kuwa maneno anayoyatoa Wema yanamkosesha amani mwenzake na kwamba siku si nyingi Kajala naye atajibu mapigo.
“Si unajua wale wanajuana vizuri, walikuwa wanafichiana siri zao, alipofikia Wema akae mkao wa mambo yake kuanikwa, bado Kajala anatafuta ushauri wa namna ya kujibu mashambulizi, Wema kamwaga mboga, mwenzake atamwaga ugali,” kilinyetisha chanzo hicho.
Katika kujua ukweli wa ‘ubuyu’ huu, mwandishi wetu alifanya jitihada za kumtafuta Kajala kupitia namba yake ya mkononi lakini kila ilipopigwa haikupokelewa. Jitihada za kumtafuta zinaendelea ili ikiwezekana akimwaga ugali
GPL WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment