Taarifa
zimeenea kuwa baada ya Kutoka hospitalini Gwajima alikwenda moja kwa
moja Kituo cha polisi Ostabey kwa ajili ya kumaliza mahojiano yake na
Polisi kuhusu kumtukana Askofu Pengo...Baada ya mahojiano Askofu Gwajima
Ameachiwa Huru kwa Dhamana....
Najiuliza kwa Sauti:
Katika Hili Sakata ni Nani Mlalamikaji ? Wakati kila mkubwa akijidai hausiki kwenye sakata hili
Je Pengo Amemshitaki ?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment