Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Wema Sepetu Nae Ajibu Mapigo Kwa Zari, Kama ulikuwa Hujui Basi Nayeye ni Mjamzito

Wema Sepetu Nae Ajibu Mapigo Kwa Zari, Kama ulikuwa Hujui Basi Nayeye ni Mjamzito

Hizi ni picha za mwigizaji Wema Sepetu ambazo zinasamabaa kwa kasi huko Instagram zikionyesha watu wakiwa wamemshika tumbo kwa nyataki tofauti  huku wote sura zao zikiwa hazionekani....

Moja kati ya akaunti  kwenye mtandao huo inayoendeshwa na shabiki mkubwa wa Wema, inayokwenda kwa jina la  WEMADAILY, ilizitupia picha hizi na kuandika mameno “NITOBOEEE” kuachilia kuwa anataka aseme jambo nakum “tag”Wema.

Baada ya muda kidogo akaibuka tena na kutupia picha nyingine nakusema ameambiwa asitoboe. Akaunti hii ndio ilikuwa ya kwanza kutoa picha za  Wema akiwa na mpenzi wake mpya Ommy Dimpoz.

Comments za mashabiki ndio zilizoshtua watu kwani karibu watu wote walikuwa wakifurahia  na kupongeza ‘Madame’kwa kupata katumbo na wengine wakilalamika kuwa kitaanza kumuhalibia magauni MISS wao.

Swali je kama ni kweli, nani atakuwa muhusika wa ujauzito huo?...WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips