Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Chuchu Hans Ajitoa Fahamu, Adai Johari Hakuwahi Kuwa Mpenzi wa Mwigizaji Ray

Chuchu Hans Ajitoa Fahamu, Adai Johari Hakuwahi Kuwa Mpenzi wa Mwigizaji Ray



Mrembo na Mwigizaji Chuchu Hans Amefunguka mengi kuhusu mahusiano yake na Vicent Kigosi aka Ray Kwenye Kipindi cha Take One cha Zamaradi Clouds TV ..Kati aliyofunguka ni Haya Hapa Chini:
Kwanza Amesema yeye na Ray Bado ni wapenzi Japo kuna tetesi kuwa Wameachana Kimya Kimya
Pili Amejitoa fahamu na kusema kuwa JOHARI hakuwahi kuwa Mpenzi wa RAY yeye anachojua walikuwa washiriki wa Biashara tu katika Kampuni ya JR....WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips