alitupia picha mtandaoni akiwa na mwanadada Irene Uwoya (Hiyo hapo juu) na kuwa “tag” mastaa kibao wa filamu wa hapa Bongo.
Hali hii ilisababisha watu wengi kuhoji kama Manaiki ameamua kumchumbia Irene baada ya Wolper kuzingua au nini?, maswali hayo hayakupata majibu lakini wapo baadhi walidai kuwa Manaiki kwasasa ana project mpya ya kutengeneza filamu ambayo itawashirikisha mastaa zaidi ya 30 wa hapa bongo, na hivyo basi Uwoya anaweza kuwa ni moja kati ya mastaa amabo watashiriki.
Tuendelee kusubiri, muda utaongea!!!WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment