Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Faiza Ally: Hapa Bongo Hakuna Staa Mwenye Figa Kali Kama yangu

Faiza Ally: Hapa Bongo Hakuna Staa Mwenye Figa Kali Kama yangu


            

Mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Faiza Ally Amejigamba kwa kusema hapa Bongo hakuna staa yoyote Bongo mwenye figa kama yake ya kuweza kuvaa bikini na kujiachia kama yeye..Wengi wamejaa minyama nyama tu wakijiachia ni kichekesho ...Amesema ukitaka kujua wewe ni mrembo kiasi gani vaaa bikini na ujiachie......
Je Mdau kuna ukweli ?WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips