Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Party ya Amanda Poshy, Walishana Keki Kwa Mdomo..Watu Wahoji Kama ni...

Party ya Amanda Poshy, Walishana Keki Kwa Mdomo..Watu Wahoji Kama ni...


Mwigizaji wa filamu ,Tamrina Poshi ‘Amanda’ hivi karibuni alifanyiwa pati ya bethidei ambapo kwenye zoezi la kuwalisha keki mashosti zake, aliwashangaza watu kwa kusema wote atawalisha kwa mdomo ‘staili ya kudendeka’.



Pati hiyo ilifanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Tamigamiga, Mbezi Beach jijini Dar ambapo mbali na staili hiyo ya kulishana keki, eneo la tukio lilitawaliwa na vituko kutokana na mastaa wengi kuwa bwii.

Akizungumzia sherehe hiyo Amanda alisema: “Ilikuwa ni siku muhimu sana kwangu na nilifarijika kuona wasanii wengi kama vile Riyama, Esha Buheti, Wastara na wengineo wamejitokeza kufurahi na mimi. Ila kulishana keki vile ni staili ya kinjiwanjiwa, hahaaa!”

Picha: amanda’ akimlisha keki rafiki yake, 'wastara, jionee zaidi hapo juu.

WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips