Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John P. Magufuli jana
alitengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa
Charles Kitwanga kufuatia kitendo cha waziri huyo kuingia bungeni na
kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.
Hapa chini kuna Video ya dakika 7 ikimuonyesha Waziri huyo akijibu swali huku amelewa
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog
0 comments:
Post a Comment