Mbunge Peter Msigwa Amrushia Dogo Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul
Makonda..Ni Baada ya Picha Amkimfunga Kamba za Viatu Ridhiwani Kuzagaa
Ameposti picha hii hapa chini Paul Makonda akimfunga Ridhiwani Kamba za viatu
na Kuandika "Hivi Ndivyo U DC Unavyopatikana, Kujikomba Komba"
0 comments:
Post a Comment