Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » Viera aorodheshwa kuifunza Newcastle

Viera aorodheshwa kuifunza Newcastle

                                                             Patrick Viera
Aliyekuwa mchezaji wa Arsenal na Manchester City Patrick Vierra ameorodheshwa miongoni mwa watu wanne wanaotarajiwa kuchukua ukufunzi wa kilabu ya Newcastle nchini Uingereza.
Steve McCleren aliyefutwa kazi na Derby County wiki iliopita pia ameorodheshwa.
Ukaguzi wa ni nani anayefaa kuchukua wadhfa huo utaanza wiki hii huku Viera ambaye ndio kocha wa vijana wasiozidi umri wa miaka 21 akiwa yuko tayari kujipima nguvu katika ligi hiyo ya Uingereza.
Viera alishinda kombe la dunia na timu ya taifa ya Ufaransa mwaka 1998, mbali na mataji matatu ya ligi pamoja na mataji manne ya FA.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips