Ni Hit baada ya Hit.. Jina la staa anayeiwakilisha poa TZ kwenye muziki Afrika na nje ya mipaka limerudi tena kwenye Headlines.. Diamond aliwahi kusema kwamba hii collabo yake na Iyanya
ni ya muda mrefu sana, lakini baadae ikavuja audio.. baadae tukaona
pichaz za behind the scenes, na sasa mzigo uko hewani tayari.
‘Nana’ ya Diamond haijamaliza hata wiki moja tangu imeachiwa na imeonesha dalili zote za kufanya poa.. Tayari Iyanya nae kaona aiachie rasmi kabisa, ‘Nakupenda‘ ambayo Diamond kapewa collabo kwenye hii.
Play hapa uicheki hapa mtu wa nguvu kazi hii mpya… Iyanya Feat. Diamond Platnumz– ‘Nakupenda’
0 comments:
Post a Comment