Ni collabo chache sana utakuta zinawahusu mastaa wa kike peke yake kutoka pamoja, lakini safari hii wadada hawa Nick Minaj na mwenzake Beyonce wameamua kushirikiana pamoja.
Kwa wakati mmoja wametoa behind the scenes na sehemu ya Video ya wimbo wao mpya ‘Feeling Myself’ kupitia kampuni ya Tidal inayosambaza kazi za muziki na kwa sasa ipo kwenye mitandao mbalimbali.
WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment