Kwa hali hiyo uvumilivu ukanishinda nikajikuta nimetembea nae mara kadhaa. Juzi ananiambia haoni siku zake, nimemwambia nimpe pesa akatoe amekataa anaogopa kufa.
Tumeongozana hospitali nikathibitisha ni kweli mjamzito. Nikamuomba kwa usalama wa ndoa yangu aondoke, hataki.
Nimemuahidi nitampa mtaji aondoke, hataki anataka nimpangishie sehemu awe mpango wa kando jambo ambalo silitaki.
Kuna mwenye jawabu hapa nifanye nini? WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment