Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks
Home » » “Ukiingia Kichwakichwa Bongo Movies, Unaondoka na Ngoma”

“Ukiingia Kichwakichwa Bongo Movies, Unaondoka na Ngoma”

Staa anayechipukia vizuri ndani ya Bongo Movies, Suzan  Odero  ‘Taiya’ amefunguka kuwa kama mtu unaingia kwenye tasnia ya filamu kichwakichwa au bila kujitambua lazima uondoke na gonjwa hatari la Ukimwi (ngoma).

Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Taiya alisema kuwa adha hiyo inawakuta sana wasanii ambao ndiyo kwanza wanataka kuingia kwenye tasnia ya filamu ili kufanikisha azma yao lazima watoe rushwa ya ngono ndiyo hapo wanapokutana na tatizo hilo.

Jamani kama mtu siyo muangalifu utajikuta hupati nafasi ya kucheza filamu na ngoma umeibeba na kuhangaika nayo mitaani bila sababu yoyote,” alisema Taiya. WEKA MAONI YAKO HAPA CHINI
Weka e-mail yako hapa kupata habari moja kwa moja Karibu sana Usikose kupata habari kwa kutembelea blog yetu Gallos official blog

0 comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Hapa Chini

 
Support : Gallos official blog | Gallos official blog | Gallos official blog
Copyright © 2011. Gallos official blog - All Rights Reserved
Modified by Yuvinusm
Powered by Blogger
Tricks and Tips